Promise Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Verse
Yeah yeah...
Turuuu ruru ru...
Zangu hisia,
Zote zinakuwaza wewe,
Yeah I feel you,
Kwako kauli Sina.
Kwenye hii dunia,
Kipi kingine nipewe,
Zaidi ya upendo huu,
Unaonikosha mtima.
Hauwezi niacha peke yangu, wewe Ni wangu,
Kwenye kiza, mwanga wangu,
Mtunza Siri zangu, mwandani wangu, muujiza.
Unanusu ya moyo wangu, mfariji wangu,
My sweetheart kidani changu,
Mbeba maono yangu, nuru yangu wanimaliza.
Bridge
Napendwa, napenda, anipenda, nampenda.
Tunaendana siwezi kumuacha.
Napendwa napenda anipenda nampenda,
Tunafanana Mimi nae mapacha aah
Chorus
Promise ( I promise baby)
Sitakuja kuku umiza,
Promise ( I promise baby)
Nitakupenda for life....
Promise ( I promise baby)
Sitokuja kuku Liza,
Promise (I promise baby)
I will be on your side....
Verse 2
Nahisi raha,
Wewe ukiwa na Mimi,
Joto la mwili,
Lazidi shamili.
Hiki kina nimezama,
Mazima niamini,
Umeiteka akili,
Bila shaka nakili.
Kwetu kukosana kupo, Kuna mda twagombana, Kuna mda twazozana,
Ila haimaanishi Mimi na yeye tumeachana.
Na Kuna muda penzi La jaa mafuriko, hapo tunanuniana tunashindwa semezana, ila haimaanishi Mimi na yeye hatutorudiana
Bridge
Chorus
Naitwa ROMI...
Romi romantic.
Romi romantic