MAPEMA NDIO BEST Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2023
Lyrics
NASEMA MAPEMA NDO BEST – HAKUNA KULATE
NGANUTHIA ANAJIPIGA CHEST – KIPIGWA NA FACTS ANABAKI AKIVEX
WAKENYA HUPENDA USHENZI – I’M SURE YOU RELATE
KIBE ANAWHIP IZO ASS – BAKI UKIJAM TUKUPAKE ATA PEPTANG

Man-On point ao wengine wamekua copy pasters
Run-Ni waoga ukweli inawafanya kuwa haters
And-Ka si Kibe wengine atungejua ni imposters
None-Ni legit so we whip Dem whip Dem fakers
Si juzi Ulipatwa na scandal-Kuwa mandem own it
Ya nini ku act kama rascal-Lambistic bullshit
Ni ya nini ka uwezi ku handle-Kuwa real man drop it
Kibe on your case ukifumble-Kula whi whi whipping
In general knowledge is power
Unapigwa tu facts kila hour
The truth is as bitter as sour kubali ku ambiwa usibaki kuwa coward
Na Nani we wacha kugawa
Kuna hustle kadhaa ziko sawa
Hadithi za paukwa pakawa
Si si watoto tultoka uko jana