hukumu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
hukumu - mtoto wa mfalme
...
(Instrument)
Vearse 1
Kisasiii ni chako Munguuuu
Na Hukumuu
Ni juu yako Weweeee
Shukaaaaa Uniamueee eeeheee
Kati yangu mimi na adui zanguuu
Shukaaa uniamueee eeehee
Kati yangu mimi na watesi wanguuu ouuu ouuu aaah!
Chorus
Nikihukumu mimi; Nitahukumu kwa Kisasi na Uharibufuuu
Ukihumu BWANA; Utahukumu kwa Haki na Ukamilifuuuu
Nikihukumu mimi; Nitahukumu kwa Kisasi na Uharibufuuuu

Kwa kuwa weeeewe ndiye MUNGU na Hukumu zaaako ni za Hakiiii × 2
ouuu ouuu aaaha
Vearse 2
Eehe MUNGU wangu kwa jina uniokoe eeehe
Na kwa uweza, wako; Unifanyie Hukumuu
Eehe MUNGU wangu uyasike maombi yangu uuuuu, Uyasikilize, maneno ya Kinywa changuuuu
Shukaaa uniamueee eeehee
Kati yangu mimi na adui zanguuu × 2
ouuu ouuu aaah!
Chorus
Nikihukumu mimi; Nitahukumu kwa Kisasi na Uharibufuuu
Ukihumu BWANA; Utahukumu kwa Haki na Ukamilifuuuu
Nikihukumu mimi; Nitahukumu kwa Kisasi na Uharibufuuuu
Ukihumu BWANA; Utahukumu kwa Haki na Ukamilifuuuu
Kwa kuwa weeeewe ndiye MUNGU na Hukumu zaaako ni za Hakiiii × 2
ouuu ouuu aaahaa