Amna Kitu (feat. Romi) Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2023
Lyrics
TOTO SHEPU MOTO... KITANDANI AMNA KITU!!
LI WOWO NI DOMPO ILA MATENDO AMNA KITU!!!
KIUNO KWELI SOKO KWENYE MZANI AMNA KITU!!!
ANAJIFANYA INONGA AMKABE MAYELE AMNA KITU!!!
ETI PISI KALI,MAPENZI JEMEDARI,HAUMCHOTI BILA GARI
EEEEEH!!! AMNA KITU!!!
ETI SINYWAGI VIKALI ANGALAU INGEKUA SAFARI
(baby si wajua mimi kimwali)
EEEEEEEEEH!!
CHORUS:
OYA AMNA KITU, AMNA KITU.....AMNA KITU!!!
WAHUNI AMNA KITU... AMNA KITU!!!
KUMBE AMNA KITU....
OYA AMNA KITU, AMNA KITU.....AMNA KITU!!!
WAHUNI AMNA KITU... AMNA KITU!!!
KUMBE AMNA KITU....
(instrument)
VERSE 2
HAWEZI POST PICHA BILA FILTER OK....
SI TUNAMJUA.....AMNA KITU!!!!
HATUSHANGAI HATA AKIPITA,WAHUNI SI TUNAMJUA
AMNA KITU!!!!
KELELE NYINGI ILA NDANI MIUNO AMNA...
AKIJA GETO CHIPS KAVU AMESAULAAA...
UKIMUONA KAMA PISI KALI PAULA..
ILA KITAA KILA MTU AMESHAKULA
EEEH AAAH!!! SHIDAAA!!!
HAJABAGUA KILA MTU ANADETI....
EEH! AAAH!! SHIDAAAA
HASOMEKI KAMA KEKA LA KUBETI
EEEH AAAAH!!! SHIDAAAA!!!
KUTWA VIPOCHI ILA NDANI HANA SENTI
EEH! AAAAH! SHIDAAA!!!
SHEPU HAMNA ILA ANAJIONA KEKI....
CHORUS:
OYA AMNA KITU, AMNA KITU.....AMNA KITU!!!
WAHUNI AMNA KITU... AMNA KITU!!!
KUMBE HAMNA KITU....
OYA AMNA KITU, AMNA KITU.....AMNA KITU!!!
WAHUNI AMNA KITU... AMNA KITU!!!
KUMBE AMNA KITU....
(native language)
CHORUS:
OYA AMNA KITU, AMNA KITU.....AMNA KITU!!!
WAHUNI AMNA KITU... AMNA KITU!!!
KUMBE AMNA KITU....
OYA AMNA KITU, AMNA KITU.....AMNA KITU!!!
WAHUNI AMNA KITU... AMNA KITU!!!
KUMBE AMNA KITU....
(instrument)