Daima (feat. Azma & Merinah) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
(String playing )
VERSE 1: King Dee 255
Mara ya kwanza nilipokuona, moyo wangu ulishituka...
Umeumbwa ukaumbika, sura kama Malaika...
Nikiwa nawe nafarijika, hata kama nahisi njaa...
Nikikumiss nakuita Darling, we ndo changu kipenda roho....
You take me higher, on top of the mountain....
Bila mabawa, I'm flying so high (high...)
Pendo letu ni fire, kila siku la-maintain.....
Mwenzako napagawa, kwa mapenzi yako moto (hey..)
I feel feel feel free.....(huuu yeah...)
I feel feel feel free....(baby...)
CHORUS: King Dee 255
Nitakupenda daima, sugar darling...
(I'll love you forever)
Mabonde milima, nitapanda nawe.....
Nitakupenda daima, sugar darling...
(I'll love you forever)
Mabonde milima, nitashuka nawe.....
(BRIDGE: Music playing )
VERSE 2: Azma
Yeah.....
Kila nikitazama, uzuri wako maaa...
Najihisi nimeshazama, kwa penzi lako naa..
(Laughter...)
Listen....
kama unavyojua, you're mine and I'm yours...
Ukinipa na-refresh mind....
Wanasema, love is blind...
Ninasema, love is fine....
Kwako nimeshasaini....
Siwezi nika-change line...
Binandam tumeumbwa kukosea...
Usiache kunichunga nitapotea...
Nilinde kwa mapenzi moto moto...
Kila penye ujenzi changamoto, hazikosekani...
Watasema sana, usinitose mummy...
Nakupenda sana...
Siri ya kitanda nitunzie...
Ni wewe unayenifanya nitulie....
(Laughter...)
I.L.O.V.E. You X2..... (I love you...)
CHORUS: King Dee 255 & Merinah (back ups)
Nitakupenda daima, sugar darling...
I'll love you forever (ooooh ...)
Mabonde milima, nitapanda nawe (eeh....)
Nitakupenda daima, sugar darling...
I'll love you forever (aaaah...)
Mabonde milima, nitashuka nawe.....
OUTRO: Merinah
I'll love you Darling....
Nitakuwa nawe .... (mhh)
Tutapanda milima, mi na weee...
Stokuacha mazima....
Gubu mbali.....
(Music playing)
Song and lyrics author: David MAYUNGA (King Dee 255)
Audio Producer: H.I.
Artwork: Mariot Alvero
©2023