
Simuachi Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Simuachi - Cheed
...
Nimekichagua chama
Nawe ndo jimbo ooh..!
Asijemiliki mpinzani
Mmh yeeh
Na haki tufike kiamaa
Ndege kwa ulimbo ooh
Nimenasa mtegonii
Mola amenibarikiaa!!
Nimepata toto la tanga mwambani
Nimetunukiwa
Sisemi ameniweka kwapani
Na anavyonipatia
utasema labda ana yangu ramani
Keshafunga njia ya
mipaka ya china na japani
Lake pendo ndani lanipa ashuo
Ananipenda vibaya
Mkali kwenye tendo
Kahitimu chuo mwana hanaga haya!!
Nanshampa kitengo
Kwa mipukuchuo
Me najimwaya mwayaa
Mswaki kwenye pengo
Na misukutuo mwali hanaga baya
Wala (simwachi)
Ye ndomwanga me tochi
Ooh
Kwake sifurukuti ooh
OohOoh!
Ooh! Wala sijutii
Kwake sifurukuti ooh
Ooh
Ooh!
Kibaba mama twacheza kitandanii
Tukipeana somo hili huba letu la thamani
Nalishwa nyama ya pweza forodhanii
Nyi chongeni midomo
kwa raha zetu atuachani
Kachirii iih kachiri saga!
Tumependezana wawili saga!
Usiogope wanga wakitujadili iih jadilii iiih
Ooh kachiri kachiri saga!
Tufe na tuzikwe wawili oohuuh nana nana
Lake pendo ndani lanipa ashuo
Ananipenda vibaya
Mkali kwenye tendo
Kahitimu chuo mwana hanaga haya!!
Nanshampa kitengo
Kwa mipukuchuo
Me najimwaya mwayaa
Mswaki kwenye pengo
Na misukutuo mwali hanaga baya
Wala (simwachi)
Ye ndomwanga me tochi
Ooh Ooh! Wala sijutii