Shidaza Dunia Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Shidaza Dunia - Jose Chameleone
...
rafiki yangu alikuja nyumbaani kunielezea shida fulani ati alifukuza kazini na hajui atafanya nini mke wake amemtoroka rafiki zake wanamcheka shida amepata nyingi amechoka dunia anajuta Chorus: Acha kulia shida za dunia ebu tulia Mungu anakujali pia *2 maisha mwendo ni pole ukipata shida leo usikonde wengi wako kama wewe usijali acha kulia ni maisha makali tazama kwanza uone kesho usikonde uwape kichekesho maisha itakua na matatizo muombe Mungu atakupa uwezo Chorus... izo shida usifikirie ukonazo pekeako labda Mungu anakuletea kesho huwezi jua kama leo sio yako kwa io masikini usikonde labda kesho utapata Mungu alipanga maisha kakaraka unapanga naye anapanga shida za dunia ninakuambiaaa Chorus... Rafiki yangu alikuja nyumbani.... Chorus....