ATATENDA Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
ATATENDA - ProducerJosh254
...
HOOKE....
Aaaaah ni furaha, alisema twendekwake kwa furaha atatendaa
Lele lelele ni kelele, twende kwake kwa kushangilia bwana atatenda....
(Mungu, si mwanadamu, hawezi kashau alilosema kwako.
Wala, si mwanadamu, anatenda alivyoahidi baba, atatendaa)×2
CHORUS....
(Atateendaa yeye ni baba mwaminifu ATATENDA
Atateendaa yeye mtimiza maagano ATATENDA)×2
...............................INSTRUMENTALS............................
VERSE 1.....
(Yeye ni mungu yetu, aliye juu mbinguni ufalme wake bab ni mkuu
Yeye ni baba yetu, apendaye mwanawe atatenda makubwa ni mkuu)×2
CHORUS....
(Atateendaa yeye ni baba mwaminifu ATATENDA
Atateendaa yeye mtimiza maagano ATATENDA)×2
Aaaaah ni furaha, alisema twendekwake kwa furaha atatendaa
Lele lelele ni kelele, twende kwake kwa kushangilia bwana atatenda....
................................INSTRUMENTALS............................