Best of You Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Best of You - Micjack
...
INTRO
Tara lala tara lilila
It’s Kin Boy just one more time nono nono nono
Tara lala tara lilila
Tara lala tara lilila
Tara lili tara lala
VERSE 1
I'm addicted to you
All my life belongs to you
I am fallin’ love with you
I've fallin’ love with you
I'll no go pretend to you
Mwili wote umesha-paralyse
I’m fallin’ love with you
I've fallin love with you baby
PRE-CHORUS
Anitha dada Rita
Kwani umenipa nini mi sioni
Saa sita usiku wa saa sita
Tucheze kuchikuchi mpaka morning
Hatari ta tatarita
Na tukitoka out twende jogging
Kisha nikuchapie na ka-guitar
Ama nishike mic stejini mi nikuimbie
CHORUS
Best of you (Tara lala tara lilila)
Best of you (Tara lala tara lilila)
Best of you (Tara lala tara lilila)
Best of you (Tara lala tara lilila)
Best of you (Tara lala tara lilila)
Best of you (Tara lala tara lilila)
VERSE 2
Ah mi najua
Nishakutana na wengi
Ila moyo ushasema hapana
Moyo unataka nitulie e ee
You're my desire
Kwa kuwa unanipenda nami nakupenda basi tutaonana tutaoana
Nafsi inataka tu itulie na we honey
PRE-CHORUS
Anitha dada Rita
Kwani umenipa nini mi sioni
Saa sita usiku wa saa sita
Tucheze kuchikuchi mpaka morning
Hatari ta tatarita
Na tukitoka out twende jogging
Kisha nikuchapie na ka-guitar
Ama nishike mic stejini mi nikuimbie
CHORUS
Best of you (Unaniweza unanitosha we)
Best of you (Unanikosha we, umenipata we)
Best of you (Unaniweza unanitosha we)
Best of you (Unanikosha we, umenipata we)
Best of you (Unaniweza unanitosha we)
Best of you (Unanikosha we, umenipata we)