
Hayapo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Hayapo - DARVAN
...
Ze One Music
Darvan
Ohhhh Uhhhhh
Ona Uhhhhh
Perfect Kamix
Maumivu Kilio Moyo Unanienda Yani Kabisa Ipo Sawa
Nilie Sema Chagu Leo Ananipa Kilio Ananionea Vibaya
Ama Kweli Mapenzi Yana Watu Wakee
Ahhh
Sitaki Shibo Nayo Kabisa Nisije Kufa Vibaya
Siyataki Mapenzi Yamefanya Nijutee
Ona
Nimezaliwa Nimeyakuta Kumbe Yanatesa Vibaya
Moyo Tulia Tuli Yani Tulizana
Usije Nipa Mapresha Mkuki Kwa Roho Utanigawanya
Moyo Tulia Tuli Yani Tulizana
Usije Nipa Mapresha Jaka La Roho Utanichanganya
Hayapo
Hayapo
Hayapo
Hayapo
Ata Nikisema Nighaili Kupenda Nina Hisia Zitanitesa
Sasa Je Nani Ntampenda Nikifikiria Ndio Nachoka
Hata Waongo Wana Mbinu Za Kweli Za Kukukamata
Ukisha Follow Unajikuta Umefeli Ndio Washakukamata
Moyo Tulia Tuli Yani Tulizana
Usije Nipa Mapresha Mkuki Kwa Roho Utanigawanya
Moyo Tulia Tuli Yani Tulizana
Usije Nipa Mapresha Jaka La Roho Utanichanganya
Hayapo
Hayapo
Hayapo
Hayapo