Care Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
(Uuh)Ananipa thamani
Anisaulisha yazamani
(Ooh) Moyoni na amani
Upendo nguzo ya imani
(Aah) Nanita
Nikiwa mbali mbali naye
(Aah) Nanipa
Vinono ndani ndani pale
She give me comfort when I'm lost
(Oooh) comfort play my shots
In my heart I made my choice
From the party we came across
(Uuh)Ananipa thamani
Anisaulisha yazamani
(Ooh) Moyoni na amani
Upendo nguzo ya imani
(Vocals)
Ana nifuta, machozi yakidondoka
Ana nifunza, Mapenzi nisijetoka
Kwenye furaha tabasamu
Hunishika natamba miee
Kwenye karaha utabibu
Huniponya acheni nyiee
(Uuh)Ananipa thamani
Anisaulisha yazamani
(Ooh) Moyoni na amani
Upendo nguzo ya imani
(Uuh)Ananipa thamani
Anisaulisha yazamani
(Ooh) Moyoni na amani
Upendo nguzo ya imani
(Vocals)