Day one Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
Lyrics
Am coolest
(Beats)
Toka day one nilikuona we
Wewe wewe weweee
Kama mtoto wa kuhani
Hulka upole wee
Wewe wewe weweee
Basi lady usibadili lens
Ukaona mbali ukabali jersey
Bado mdogo nahitaji ulezi
Kuna watu wana hesabu days iii
Jivunie mi ndo wako wa milele
Aaaah aaah aah
Usi-change mo-ooove
Wewe wewe eeh
Ooh b baby ooh my baby
Oh babe b beeh eeh ehhh ehh
Ey eehe