![Wanok nok](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/24/bf424dfa1086465f80eccecc4b382afb_464_464.jpg)
Wanok nok Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Wanok nok - Domokaya
...
Wanafki watu wa kupakazia
Wameanza tena unafiki (Wameanza tena)
Ooh
Wanafki nafki watu wa kupakazia
Yasowahusu wao kuingilia
Maneno yao ni kama ya simba
Ukiyasikiliza lazima utaaminia
Wanok nok wazee wa kusingizia
Madem wa watu washkaji wanawarukia
Kumbe ni waongo
Wao wenyewe ndio wanaowatokea
Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia
Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia
Ulimwengu huu una mambo eti nawe unaijua dini
Huishi katamba maskani kwa mi sikosi msikitini aah
Ngoja wakati wa kali mambo poa
Nikipitia mkoso kodoa pita sogoa mate kupalie kohoa
Lugha chafu mbwa chipe na hili jingine halijakwisha
Katika wa aibu mshipa
Haufai hata kwa service
Umemcheki demu wako leo kesho amewahi kufika
Anaifahamu ratiba msela huwa anenda saa tisa
Anatia timu saa sita peke angu ndani ya pickup
Usifate tetesi zake mnoko atakuumiza kichwa
Sifa akizidisha Domokaya hakufai kabisa
Utakunja ndita sevu mi ni furaha ya mfa haki
Juzi guse mtungi na tone la mvuke wa bati unoko sitaki katia vati
Wakina mama watu wazima
Wenye kuchamba wima wamezaliwa wanasema
Si safi sa kusema tunaigiza nchi za kiri
Nyie makaka poa huyu mjamaa inamhusu
Nani ii
Wanafki nafki watu wa kupakazia
Yasowahusu wao kuingilia
Maneno yao ni kama ya simba
Ukiyasikiliza lazima utaaminia
Wanok nok wazee wa kusingizia
Madem wa watu washkaji wanawarukia
Kumbe ni waongo
Wao wenyewe ndio wanaowatokea
Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia
Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia
Wamezoea kupakazia kurukia
Ya kwao yanawashinda
Ya watu wayavalia njuga
Hao wanafki chakubimbi
Ya kwao mengi twayafahamu mmh
Tumenyamaza tu
Kuwaheshimu kwani tumeamua kuwasitiri ooh
Hadithi hadithi hadithi njoo
Uwongo njoo utamu kolea
Si ndo vijamaa flani vinok nok
Watu tukichunguza umbea non stop
Yani ninarap pop sipendi unok
Wasio na madem yani za kwao soap
Hawana sera hawana hela hawa masela
Hawana sera hawana hela hawa masela
Wanafki nafki watu wa kupakazia
Yasowahusu wao kuingilia
Maneno yao ni kama ya simba
Ukiyasikiliza lazima utaaminia
Wanok nok wazee wa kusingizia
Madem wa watu washkaji wanawarukia
Kumbe ni waongo
Wao wenyewe ndio wanaowatokea
Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia
Ni usawa wa ukweli na uwazi
Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu
Mwambie ukweli sio kumpakazia
Tumewastukia mpenzi tumewastukia njoo tudance
Achana nao wanok kusema wataharibu penzi
Puuza miluzi ya shuga dady ndani ya benz
Njoo tudance, njoo tudance
Tumewastukia wanok tumewastukia
Tumewastukia wanok tumewastukia
Tumewastukia wanok tumewastukia aah
Tumewastukia wanok tumewastukia
Tumewastukia wanok tumewastukia aah
Tumewastukia wanok tumewastukia
Tumewastukia wanok tumewastukia aah
Tumewastukia wanok tumewastukia
Tumewastukia wanok tumewastukia aah
Tumewastukia wanok tumewastukia aah