![Aje](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/04/613c8cbd21bc4c8a93a83e77d9875023H3000W3000_464_464.jpg)
Aje Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Dungu wakimbizi
Iyi nchii Siyo ya kwetu
Ukija ulaya kumbuke ulipo toka
Maisha mangumu, ulio yapitia
Yakufunze kweli usije ukapora
Usitamani vyawatu tafuta utapata
Kero za watu iyo iyo utapata
Aje Aa yaya Aje Yeyeye
Aje Woowoo Aje Yeeyee
Famillie zinabomoka
Kila kukicha
Watoto wataenda wapi ukifika jail
Aje Aa yaya Aje Yeyeye
Aje Woowoo Aje Yeeyee
Shida zake, shida zangu zanini
Kwani sisi tulikoseya wapi
Maana kule kwetu tumezoweya kulima
Jembe bengani kulala kwa shida
Usitamana vyawatu tafuta utapata
Kero za watu iyo iyo utapata
Aje Aje Aje Aje
Aje Aje Aje Aje