BINTI Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Kuna Binti Moja
Hata hatambui
Kwa uzuri urembo aliobarikiwa
Kwanza Yuko simple
Hana Maringo
Tena Yuko humble
Ana Upendo
Pia Yuko Social
Hana Mikunjo
Moyoni kaniteka
Kanimaliza
Kama sauti kasikia,Maneno aelewe
Minampenda
Uzuri Urembo ,Vyote Kajaliwa
Tambia kaumbiwa ,Minampenda
Minampenda
Naomba muelewe
Mnishauri
Nifanye Nini
Kwa huyu Binti
Kama Muda nimempaa
Sehemu tumekwenda
Zawadi nikaleta
Lakini bado tu
Hanielewi
Kama sauti kasikia,Maneno aelewe
Minampenda,Minampenda
Uzuri Urembo ,Vyote Kajaliwa
Tabia kaumbiwa ,Minampenda
Minampenda
Huyu Binti,Minampenda