I love you Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
We ndo roho yangu inayotembea
Si ukija niacha ndo nita dead
We ndo pumzi yangu nayo hemea
si ukija ondoka Ndo nitakufaaa
Ata nikia mshwa usingini nitaje jina la mtu nae mpenda nitataja jina lako
Yani we na mimi Tunapendana
Tunafanana uwo uwo uwoo
Ninakujua jua beibii Unanijua jua mpenzii
Ah babe wangu wee
I love you i love you i love you
I love you
Kama mapenzi bahari kubwa
Mimi na wew kina kirefu
Aaaah hata nikiwa na hasira
Nikiona sura yako mood inachange
tangu nianze kupenda sijawah penda
hivi aaah pendo lako ulimbo
Aaah Dont go far away
Vile mpole siongei
Watanizika mazimaaa
aah babe wangu wee
I love you I love you I love you
I love you