![Mateso](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/15/186dfefa646d424a8d95e137d101009a_464_464.jpg)
Mateso Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Ushaiona malaika mmh
Ata hajakuita unaitika mmh
Toto dark skin kaa lupita mmh
Toto amechongwa shape guitar mmh
Ana tingika mmmh
Cheki venye ananipa shida mmh
Akinipa vitu siwezi shiba mmh
Afadhali ni pasuke mshipa mmh
Hiki ndio kile kitumbua ata ikiingia
Mchanga bado nitaki nitakitafuna
Natazama tu kwa mbali walai na imagine
Na guna gu na guna guna
Hiki ndio kile kitumbua ata ikiingia
Mchanga bado nitaki nitakitafuna
Natazama tu kwa mbali walai na imagine
Na guna gu na guna guna
Cheki venye toto lilivyo jaza nyuma
Lina nipa ma mateso
Cheki venye limebeba beba nampatia
All my attention
Cheki venye toto lilivyo jaza nyuma
Lina nipa ma mateso
Cheki venye limebeba beba nampatia
All my attention
Ananiridhisha mmmh
Siwezi taka kumwaibisha mmh
Napenda venye anaringa mmh
Ata akikosea siwezi mpiga mmh
Kenye anataka anaitisha
Mali ni mingi hawezi maliza
Anakuja kwangu bila visa
Akiwa na stress nitamtuliza mhh
Hiki ndio kile kitumbua ata ikiingia
Mchanga bado nitaki nitakitafuna
Natazama tu kwa mbali walai na imagine
Na guna gu na guna guna
Hiki ndio kile kitumbua ata ikiingia
Mchanga bado nitaki nitakitafuna
Natazama tu kwa mbali walai na imagine
Na guna gu na guna guna
Cheki venye toto lilivyo jaza nyuma
Lina nipa ma mateso
Cheki venye limebeba beba nampatia
All my attention
Cheki venye toto lilivyo jaza nyuma
Lina nipa ma mateso
Cheki venye limebeba beba nampatia
All my attention