Mfalme Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2023
Lyrics
Mwanzo wa safari nili-anza nawe,
Hata hapa nilipo ni kwa nguvu zako ooh
Hakuna jambo gumu la kukushinda,
Watushindia majaribu, na kutulinda,
Kumbe ni wewe watupenda, wewe watujali,
Ni wewe watuvusha, fahari yangu oohh,
Pokea sifa za moyo wangu,
Pokea sifa za moyo wangu,
Wewe ni mfalme, ni mfalme eeh
Wewe ni mfalme, umetukuka.
Wewe ni mfalme, ni mfalme eeh
Wewe ni mfalme, umetukuka
Bado nakumbuka nilipotoka, njia nyingi nilizopita,
Najiuliza maswali wanipenda vipi, iiiihh
Maana ni mbali nimetoka,tena kundini mwa wengi,
Ila tu nikawa mimi ooohh ohhh ooh,
Sikuwa na kigezo cha ziada mana nami,nikawa wao,
Tazama umelipa deni msalabani, nidaiwalo ooh,
Umenipa mamlaka, nikanyage ng'e na nyoka
Bhasi nami bila shaka, sifa zako pokea aah
Pokea sifa za moyo wangu, ( zatoka kilindini )
Pokea sifa za moyo wangu, ( kilindi cha moyo wangu )
Wewe ni mfalme, (ni mfalme eh) ni mfalme eeh
(wewe ni mfalme)
Wewe ni mfalme (ohh oh) umetukuka.
( Wewe ni mfalme) Wewe ni mfalme
(mfalme eh) ni mfalme eeh ( wewe ni mfalme )
Wewe ni mfalme (ouoh), umetukuka
( Wewe ni mfalme) Wewe ni mfalme (ni mfalme eeh)
Ni mfalme ehh
(Wewe ni mfalme eh) Wewe ni mfalme,
(Ni mfalme eh) umetukuka.
( Ooh)Wewe ni mfalme, (oh oh)ni mfalme eeh
( Oouh ohh) Wewe ni mfalme, (wewe ni mfalme) umetukuka
Wewe ni mfalme, ni mfalme eeh
Wewe ni mfalme, umetukuka.
Wewe ni mfalme, ni mfalme eeh
Wewe ni mfalme, umetukuka ahh