Kiti Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Eee tupe tupe kiti mezani
Tupe tupe kiti mezani
Eeo kiti mezani
Tupe tupe kiti mezani
Eee kiti mezani
Eee kiti mezani
Tupe tupe kiti mezani
Eee kiti
Kama unafikiri we ni jua
Well if that's true then we're the moon
Bosi wa bahari
Queens of the party
Mother-daughter army
Bossy and we're balling
Destiny is calling
Ying and yang like mama sang
Tunakuja kama boomerang
Eee tupe tupe kiti mezani
Tupe tupe kiti mezani
Eeo kiti mezani
Tupe tupe kiti mezani
Eee kiti mezani
Eee kiti mezani
Tupe tupe kiti mezani
Eee kiti
Equality sio complicated
Nataka kumuonesha bibi
Look we made it
Seated and tabled
Tunayo kauli
Tunayo kauli
Embu sikiliza