Pretty Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Helloo...
Mambo vipi baby girl (ooh)
navyokupenda hadi keroo
nataka kuwa nawee
kuwa na wewee
helloo...
how are you baby girl (ooh)
kwa uzuri wako niko cell (ooh)
nataka kuwa nawee
kuwa na wewee
she got this
she got that
anipe kiss hata vile this night
she got hips, she's so fine
she got me
ukimcheki yuko poa, yuko simple
ana-shape iko poa, na vi-dimples
akitembea huo mwendo yani tiktok
nataka kuwa na yee, kuwa na yeyee
she's so Pretty, she's so pretty
she knows..
she's so pretty, nataka kuwa na yee
kuwa na yeyee
she's so pretty, she's so pretty
she knows...
she's so pretty (yeah), nataka kuwa na yee
kuwa na yeyee
Nakuita njoo, achana na maneno ya wambea girl
wakisema uko cheap nawachinja girl
nataka kuwa na wewe kwa mwengine no
ukimcheki yuko poa, yuko simple
ana-shape iko poa, na vi-dimples
akitembea huo mwendo yani tiktok
nataka kuwa na yee, kuwa na yeyee
Cause she's so Pretty, she's so pretty
she knows..
she's so pretty, nataka kuwa na yee
kuwa na yeyee
she's so pretty, she's so pretty
she knows...
she's so pretty (yeah), nataka kuwa na yee
kuwa na yeyee