![PHILOSOPHY ft. BoiBlacc & 2.E](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/12/13a581986d9f449c92d3a1c2fbdb4ab6_464_464.jpg)
PHILOSOPHY ft. BoiBlacc & 2.E Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Nakuja na philosophy
Juu mi ni mjuaji, sijawahikuwa choppy
Sipeanangi bure, my knowledge is not for free
Man, you're busy doing God knows what
I'm doing me
Ntachimba leo lakini morrow bado ntawin
Wee kula upepo, mi spendi njeve, I'm going in
Nmekula rangi ata bila crown, bado mi King
Umekula nyaru ukichoma picha bila nare msee
Chali ana kichwa na bado unampea head
Even worse when you're whoring and you ain't getting bread
Even worse when you're blowing up on the internet
Twenty K followers na bado hupati kacheque
Rewind! Rewind! I just had to bring it back
History repeats itself and that's a fact
I'm an artist like Van Gogh, though I paint all black
I mean
Mi ni BoiBlacc, I had to say all that
Rap's an art. Don't hate on it. Participate
Wasanii huteta badala kuregulate
Collaborate
Jenga jina kama bado hujamake
This shit is easy, that's why I do it everyday
Saa yenye mnabonga mob tunapenya, buda
Saa yenye mnabonga mob tunajenga
Oya! Acha pupa za media
Wale wasee watatu wameshafika area
Nacome na Philosophy, Plato
Natisha Diablo, me ni Pablo, Picasso
Na Vinny Van Gogh, Leonardo, Michelangelo
Yani, napaint picture, ya painkiller na healer ni dealer, easy
Mnamake up mastories na concealers si tuko busy
Cheki cheki, me ni leader, me ni head
So if I give myself to you, then nakupea, head
Msinibehead instead, mdissect malines kama lab ya med
Na msijam ju naget bread, mnispread
After all naeza do for you, mtangoja my downfall
True mhmm. Mko sneaky, kiziwi kwa mahater me siskizi
Nikisema nitashinda, nitashinda ongeza kisisitizi, kisasi silipishi, sibahatishi
You are blinded, I am blinded, on my end, my friend I think I'm double-minded
Undecided, jeneza na gereza nazivunja kama Silas
Ni gold mnadig you want to mine us
Plus, me huchunga nisipass ka gas nijipate kwa hearse
Patience pays, hiyo ndio salary ya nurse