Mama Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Mama - Kasi Simela
...
aya we majanja apa
aya we simela apaaaa
aya we we weweweeeeeee
ah oh mamaaaaaaaa
nakukukumbuka mamaaaaaaaa
oh mama mamaaaaa
wema wako kwangu uliofaaanya
ah oh mamaaaaa
me mwanao nakumbuka maaaama
ah oh maaama wema wako kwangu uliofanyaaa
mama ulinifunza baya zuri,
ulinifunza kuna wema na maaadui
mam ulisema niache ujeuri na ulinisih niishi na watu mimi vizur
mama ulinilea bila baba,haukunitupa japo maisha yalikaba
mama wengne walikuita kahaba,kwaajili yangu uliangaika upate unga kibaba
mama eh uliangaika uku na kule uliuza mboga mboga pombe ili niende shule
mama eh mwanao nimekua docta cha ajabu napata hela nawe umeshaondoka
ah omamamamaaaah
wema wako kwangu uliofanya
ai mama eh mwanao mwana mm nabaki naumia,nikikumbuka wema wako duniani apa ulionifanyia
ai mama wew kipindi naumwa ulikua hauna hata mia,ulikubali uende ukakope ili mwanao uweze nitibiaaaa
ata nkisema niseme sifa zako siwez kumaliza
wema uliofanya hata robo sijaulipiza,we ndo taa yang leo nyumbani nimebaki giza,nkiona picha yako inabaki kuniliza liza
mama eh uliangaika uku na kule,uliuza mboga mboga pombe ili niende shule
mama eh mwanao nimekua doctor,cha ajabu napata ela nawe umesha ondoka
ah oh mamaaaaah
me mwanao nakukumbuka saaaana wema wako kwangu uliofanya