UMENIBAMBA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
UMENIBAMBA - Seed Of Life
...
Ee everybody shwaa shwa
Kidogo dogo kidogo dogo, hapo (aah ee yah)
Eeeee
chaa! Thank you, God
Yeah! say Pekee U Mungu wangu say
Pekee U Mungu wangu, wasimama upande wangu, (sina Mungu mwingine),
Sina Mungu mwingine, pekee U Mungu wangu (wewe ni baba yangu)
Pekee U Baba yangu, unasimama upande wangu, sina Baba mwingine (umenivisha vazi lako Bwana) pekee u Baba yangu
(Pekee U Mungu wangu), pekee u Mungu wangu unasimama upande wangu (unasimama upande wangu)
Sina Mungu mwingine pekee u Mungu wangu,
Pekee u Baba yangu wasimama upande wangu, sina Baba mwingine, pekee u Baba yangu ( tell your neighbour to participate) pekee u Mungu wangu, unasimama upande wangu, sina Mungu mwingine pekee u Mungu wangu
Pekee u Baba yangu, wasimama upande wangu, sina Baba mwingine pekee u Baba yangu (lakini umenibamba ×2)
umebamba bamba bamba, bamba eeeeh (umenibamba sana)
bamba bamba bamba, bamba Yesu
umebamba bamba bamba, bamba eeeeh
Umenibamba bamba bamba, bamba Yesu
umebamba bamba bamba, bamba eeeeh
umebamba bamba bamba, bamba Yesu
umebamba bamba bamba, bamba eeeeh
umenibamba bamba bamba, bamba Yesu
Umenibaaamba eeh, umenibamba Yesu×8