
Amen Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
Lyrics
Amen - Godlove Gozbert
...
Iyeeh aah
.........
Nashukuru kwa nafasi
ninaona
Neema yako juu yangu inanibariki
tena nimewapita wangapi
ambao waliomba
wafike leo kwa wakati
lakini hawakuweza
mipango yaako Baba
siwezi kubadilisha
unanipenda sana
japo me sijakamilika
ungeangalia ndani labda
Me nisingehitajika
ila upendo wako Bwana
ni wa ajabu
nitaimba jina lako (Bwanaa)
nitalisifu jina lako (Babaa)
matendo yako ya ajabu (wewe)
haulinganishwi na yeyote (Mungu)
x4
.....
mmh mhh mhh
oyye eeh
Jicho lako Bwana si kipofu usione
Mkono wako Bwana si mfupi usitende
Unaona Bwana mpaka ndani ya mioyo yetu
Na unatenda Bwana pale ambapo hatufiki
Unaponya magonjwa, watu wanapona kwa Jina lako
Warudisha amani kwa mioyo iliyovunjika
Angekuwa mwanadamu asingeviweza
Ila upendo wako Bwana ni wa ajabu
Nitaimba jina lako (Bwanaa)
Nitalisifu jina lako (Babaa)
Matendo yako ya ajabu (Wewe)
Haulinganishwi na yeyote (Mungu)
Amen,Amen (Amen) ,Amen (Amen) Hallelujah
Amen
Amen,Amen (Amen) ,Amen (Amen) Hallelujah
Amen,Amen (Amen) ,Amen (Amen) Hallelujah
Umefanya Makubwa
Eehh..
Amen,Amen (Amen) ,Amen (Amen) Hallelujah
Umerudisha njia Bwanaa
Amen,Amen (Amen) ,Amen (Amen) Hallelujah
Umeondoa uwezekano wa Mwanadamu,umefanya makuu
Amen,Amen (Amen) ,Amen (Amen) Hallelujah
Nimelisifu jina lako, Ninalisifu jina lako
(Hallelujah, Hallelujah, Hallelujah) x2
........
x4