![Kameshika (Remix) ft All Stars](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/54/2A/rBEeMVoECD2AZmmqAAB8EjeQQGA879.jpg)
Kameshika (Remix) ft All Stars Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2017
Lyrics
Kameshika (Remix) ft All Stars - PRO (KE)
...
kameshika
kameshika
kameshika eeh!
kameshika, kameshika
(this is the remix)
kameshika
kameshika eeh!
this is my remix i had to speak bus
coz everybody is talking about this bus
which bus me kobarich chorodwonko which bah,
na ma tinny na ma timmy on the teybah,
zimeshika wanatingisha kwa teybah
leta paybill nikupay bar
na niko frontpage kwa bar naitwa pro wa di that
na niko thika road na kuna bash pia huku
na kameshika joh na nikona ras pia huku
mkoba wa ongwelo,bro shhh kidogo
kameshika nah..
me si kidogo
naitwa pro
(lord)
kanatouch when i walk in
na naiboi si unajua that am popin
before fikidiki lazima zikuwe nidigi
the small ting ni digidigi lets take it to church like
Ooh! mama
wewe ni blessing toka osana
njoo tutese kuna doo sana
kameshika kametouch bebe
na naiboi bebe eeh
kameshika
saa ameshika
kameshika
kameshika
hi remix joh ni deepheat ka spray
waliniitisha vas na nikaiserve ka chakula kwenye tray bro
me huspeed na siplay
naongeza pia disas
ju in a disas hupigwa replay
yelele mama
iko sawa iko fiti ina fanya watu wakatike kwenye floor
usikwende saana
ju kameshika kame bamba usinitoke uniwache mimi solo
eeh yo ABCs hawa madem wanataka D
EF three si huwa ni G
HIJ,
you know i got the key
LMN,
madrax,
si unajua nikona?..
kame..touch,
kame ni heal kwa church
kameshi..ka
hadi mshipa goti na back
hey you peer raw you know i got your back
katapaa kama kawa na kagoti ya jack
imeni..
kamata kakani billy kwa bash
imekick
ka senior jackie chan
nikomaji nikiwika promoter gwan
so set one next..
buda towa plan!
nilikuwa na pro tunakata maji
kucheki dancefloor manzi amejibeba
hehe!
lakini sura iko chini
nika kumbuka utamu wa miwa
utamu wa miwa huanzia chini
nika ambia dem kangoma kameshika
akadai okwonko umenishika,
twende kejani uanze kushikashika
kameshika !
kameshika!
eeh
kameshika!
kaameshiika,
kameshika!
kaameshiika
kameshika!
kaameshiiiika
your body killer,
bad girl you are a winner
juu hadi chinii
msupa si umeiivaa?
sura ni noma, haaga umeiibeba
kuna vitu me hulike umenishiika
mmh!
ah kameshikako
madem na mgombera mpakeko
kama mrenda kwa diem tuna slidiko
(kama mrenda kwa diem tuna slidiko)
na nimepiga colon
swaga uwesi thani si ya london
na kameshika olon kama wazulu tuna ongea na kingonkon
leo kamegonga,
no waste no time, take it easy
saidia mafeelings
(saidia ma feelings yo)
basi twende tapo,
tapo tapo,
tapo pacho
basi twende tapo,
tapo tapo
tapo pacho
basi twende tapo,
tapo tapo,
tapo pacho
basi twende tapo,
tapo tapo,
tapo pacho
kameshika,
nikona maganji joh,
kameshika eeh!
kameshika,
nikona kadem kasupa,
kameshika eeh!
kameshika!
tukate maji bro,
kameshika eeh!
kameshika!
kametouch joh,
kamshika!