I miss u Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Sio siri ni mapenziiii
Mimi kwako sijiweziiiii
Mi sijawai pata kama weeeee
Sio siri mi tangu ameniacha sihelewiiiii
Nilishazoea nipo nae popote aliponae
Mapenzi yananini yananielemea
Sasahivi sipo nae ameniacha mwenyew kaniachia zigo
Lanielemea ''kuzoeaaaaaaaaa kweli mi nimekuzoea
Peke yangu nahofiaaaaaa
Ohoo baby I miss you
HAkiamungu I miss you
Ohooo baby I miss you
Ohooo baby I miss you
Kila chenye mwanzo kinafika mwisho najua
Ukweli ndo umeniacha niachaa hata ilo najua
Sa ntafanyaje moyo wangu bado unamaumivu juu yako
Kwani penzi ili lipoje mbona najitoa sana bado naumizwa mie
Kwani na mi ninakasoro gani tu mbona penzi langu linateketea juu
Ukweli nimekuzoeaaaaaaaaa
Kweli nimekuzoeaaaaaa
Peke yangu nahofia
Ohooo baby I miss you
Hakiyamungu I miss you
Ohooo baby I miss you
Ohooo baby I miss you
....................................................................................
Sio siri ni mapenziiiiiii ..........mi kwake sijiwez............
Sijawai pata kama yeeeeeeeeee.......sio siri mi tangu ameniacha sielewiiii