
Chocha Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Chocha - Jamsca
...
*Spice Music*
Mungu aliumba dunia, ya walimwengu
Akatupa mapenzi uzito wa shehena
Tusiumizane
Kukicha naomba dua, zifunguke mbingu
Au labda mi sijaumbiwa hata tone
Niseme shukrani, upendo wangu umegeuka kuwa ubaya
Licha ya burudani ka' kukuhandle kosa langu nisamehe mwaya
Mtu kukupa thamani ya kukupenda, sio ka amekosa pa kwenda
Nawe unapaswa kumthamini na kumtunza
Ila mwenzangu mie
Yaani unanchocha
Unanchocha
Unanchocha
Macho yangu unatia muchanga sioni
Unanchocha
Unanchocha
Unanchocha
Maisha yangu nilitafutia ridhiki kwako
Sikusikiza hata la ndugu
Nikasema na moyo wangu nitaficha siri zako
Maana mengine ni aibu
Mie nikatandika jamvi kuezeka mahema kukusifia
Mwenzangu ukamwaga radhi zote sifa njema nilizokumwagia
Nusura kupewa radhi na mama sikusikia la kuambiwa
Inshallah zitanishukia faraja maulana ataenilipia
Mtu kukupa thamani ya kukupenda, sio ka amekosa pa kwenda
Nawe unapaswa kumthamini na kumtunza
Ila mwenzangu mie
Unanchocha
Unanchocha
Unanchocha
Macho yangu unatia muchanga sioni
Unanchocha
Unanchocha
Unanchocha