
Likizo Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Ndo unanipa likizo
Huoni kama adhabu Nzito
Baby girl sina tatizo nawe
Ndo unanipa likizo
Huoni kama adhabu Nzito
Baby girl sina tatizo nawe
Oh baby mammy
Kuna issue gani
Mbona sina amani.
Ona tunazozana
Tunazozana hadi
Unavunja ahadi
Huniiti tena daddy
Ni kuvurugana ni kivurugana
Mi nakuomba nisamehe
Penzi letu liendelee
Wanafurahi wasiotupenda
Ukinuna ni sherehe
Ukinuna ni sherehe
Basi mama nisamehe
Penzi letu liendele
Nitapunguza misele
Nitapunguza misele
Ndo unanipa likizo
Huoni kama adhabu Nzito
Baby girl sina tatizo nawe
Ndo unanipa likizo
Huoni kama adhabu Nzito
Baby girl sina tatizo nawe
Usiku wa jana sijalal lala
Mawazo yametawala wala
Umelala wapi?
Umelala na nani?
Hasira ni hasara mama
Walimwengu wabaya sana
Watakuacha makapi
Watakutoa kwenye chati
Baby umenuna kweli
This is too much
Too much, too much, too much
Honey umenuna kweli
This is to much
Too much, too much, too much
Ndo unanipa likizo
Huoni kama adhabu Nzito
Baby girl sina tatizo nawe
Ndo unanipa likizo
Huoni kama adhabu Nzito
Baby girl sina tatizo nawe