
Reggae ya Kinyozi (Remix) Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Reggae ya Kinyozi (Remix) - Savara
...
wowooo....
yeah iyee yeeei
wooi,..hi ni reggae ya kinyozi
hapa hakuna kunyolewa na deni
hapa kazi tu hakuna utiaji
mwenzako akinyolewa chako
tia maji
wouwooooi
hi ni reggae ya kinyozi
inapendwa na wanati na wadosi
haichagui sura haichagui ngozi
ikikupata ikupate na ma??....
look where we began...
kwa Kona za hii mtaa...
mbogi yangu ya gheto,tuli toka maringo
tuko on the other side.
look who you become...
wasee wanoma Sana...
wasani wamesoma,Kuna ma footballer
na kuna ma general.
I remember good times,living in the Eastern..
walai,used to be so nice
I hope we can get to do it one more time..×2
(chorus)
blind you that it does
where we come from love is the nature
lit up beats leave some solid cater
eas kwa mabiz follow good vibration
Clat na madangalee,we step up in a jam
session smoking tree
mbogi ya umoja na ya eastlee,tunakula
ma Bax till the evening
kurudi ma yo,tunarudi na madranya
tukiwa na squad lazima tupande nganya
usini tag,we've been pushed to the corner
only love, only love can make us strong.
yeah yeah.
I remember good times, living in the Eastside
walai used to be so nice,I hope we can get to do it one more time.×2
yeyeeeeeee......
one more time....
chorus........