Viwango vingine (feat. Buldy Dozzer) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Yote gharama
Wokovu raha
Nilivyokuwa jana
Sio hivyo leo
Utovu wa jana
Nimekombolewa
Nilikuwa a distract of people
Sasa mtindo ni mpya na bado
Yesu christo tamalaka
Tamalaki
Tamalaki
Wewe ndio njia
Hiyo njia
Hiyo njia
(Chorus)
Naenda Viwango vingine
Naenda Viwango vya juu
Juu sana
Naenda Viwango vingine
Naenda Viwango vingine
Anitoa far
Akanisho love
Akanipa rahaa
Yesu amekuwa mwema kwangu
Akanisamehe dhambi zangu
Akanitua mzigo
Wala sikosei
Sai niko blessed
To heaven niko raised
(Again)
X2
Ukitaka gari nyumba ni ye
Ukitaka afya nzuru ni ye
Ukitaka amani tele ni ye
Ukitaka maisha fiti ni ye
Yesu christo tamalaki
Tamalaki
Tamalaki
Wewe ndio njia
Hiyo njia
Hiyo njia
(Chorus)
Amenipa pumzi
Amenipa uzimaaa
Amenipa wimbo mzuri
Nitaimbaa
Air free
Life free
No fee
-Just a prayer
Life free
No fee
Air free
-just a prayer
Wapendwa mimi napendwa
Mpendwa nawe wapendwa
Yesu christo tamalaki
Tamalaki
Tamalaki
Wewe ndio njia
Hiyo njia
Hiyo njia
(Chorus)