Nishazoea Lyrics
- Genre:Jazz
- Year of Release:2023
Lyrics
Nahisi Nimefika,
Kwenye Safari Ya Mapenzi Me Sihusiki,
Kama Abiria Kuabiri,
Aah Bora Nitembee Miye Sihusiki,
Nimejitahidi Sana,
Kama Ni Kupenda Nimependa,
Bali Kutendwa Mazoea,
Aah Nishazoea
Nimejitahidi Sana,
Kama Ni Kupenda Nimependa,
Bali Kutendwa Mazoea,
Aah Nishazoea.
Chorus:
Kunipenda No,
Kukupenda Yes
Kunipenda No
Ndo Kauli Lako x2
Nashindwa Meza Mate,
Yote Sababu Ya Penzi Langu Kwako,
Nashindwa Kuelewa, Au Tatizo Ni Mimi,
Au Pengine Maumbile (Ooh Baby)
Usije Ukasahau,
Kwamba Penzi Soko Wanunuzi Wengi,
Aah Twang'ang'ania.
Usije Ukasahau,
Kwamba Penzi Soko Wanunuzi Wengi,
Aah Twang'ang'ania (Ooh Baby)
Shepu Ya Addasa, Maringo Ya Tausi,
Nipe kisinia, Mwenzako 'tailamba,
Twende Zanzibari, Kando Ya Bahari,
Tukacheze Na Zumari, Kwenye Kiwanda Cha Zari,
Kuwa Mbaraza, Na Mwenye Mabezo,
Mola Atakuguza, Utafika Na Mbali,
Na Matokeo Utayapata
(Na Matokeo Utayapata)
Chorus:
Kunipenda No,
Kukupenda Yes
Kunipenda No
Ndo Kauli Lako x3
Nimejitahidi Sana, Kama Ni Kupenda Nimependa,
Bali Kutendwa Mazoea, Aah Nishazoea.
Author: Ackley Taro
Vocalist:Ackley Taro