
Nimechoka ft. Wasasa Boy Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Kwani mapenzi ni vita namafurukano
Umekumbwa nanini unaniona chizi kila siku na wengeni doh tatizo ninini
Wengeni doh tatizo ninini
Kiukweli nilikupenda sana nawengine nikaona awanamana
Mtoto wa kiswazi acha nikuweke wazi
Maana moyo umehuweka kwenye glasi
Asira pressure inashukia wengine wanapo Kuchumbia
Wanapo kuchumbia
Nimechoka kuwa nawe
Moyo kama nyoka we dada wee
We dada wee
Nikisema sitamani
Huwa nakoseya weee dada
Umehufanya mukono wangu
Kuwa kiburudisho bafuni
Kupenda kote kule kiukweli nimeshindwa
Mwanamuke autulihiii shape
Kama kindinbwi ndimbwi
Nimekusamini sana ila hukuvumilia
Ukahisi unamabawa dunia ukaifanya yako
Ooh ukanikataa mama kisu inakata
Mama kisu inakata
Natamani kuona dunia imekufunza kitu
Asiye funzwa na wazazi hufunzwa na dunia
Ona sasa umerudi peku
Murisho peku peku
Ukajifanza miss Tanzania kumbe bongozozo
Nimechoka kuwa nawe
Moyo kama nyoka we dada weeee
We dada weee
Nikisema sitamani
Huwa nakoseya weee dada
Umehufanya mukono wangu
Kuwa kiburudisho bafuni
Kupenda kote kule kiukweli nimeshindwa
Mwanamuke utulihiii shape
Kama kindinbwi ndimbwi