
My Love Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
My Love - Bruce Africa
...
Safari yetu ya mapenzi, oh my baby
Sio siri tutaona mengi, kuwa ready
We tukaze roho, uh wachana nao
Be a commando, yeh yeh eh
Nishafanyiwa ushenzi, oh my baby
Kwako nimepata ukombozi, yes I'm ready
Kukupa yangu roho, na vyangu vyote go
Bila wewe sitoboi, sitoboi
Katangaze nakupenda sio mbaya
Sio dhambi hakunaga ubaya, kuzama penzini nawe, ongeza tena nipagawe
You're my melody and I sing alone
Bad man I sing alone
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni
Siri tuzitunze nje sio sawa, tukibishana ndani ya kaya
Tuyamalize mimi na we, upendo kati yetu ututawale
You're my melody and I sing alone
Bad man I sing alone
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni
You are my love,
Umenikamata, yeyeh
Mganga gani huo ooh
Now I sing alone, yeh yeh..
Iwe mchana usiku,
tukikosa mkate wa siku tuwe na imani tu mwayaya
Anayetoa ni Maulana, ooh my love
Wabaya wapo usiwaskize, maneno yao tuyapuuzie yeyeh, iye tuyapuuzie yeyeh
Mwenzako kwako kolo kolo (kolo)
Uendapo nitafollow (follow)
Sitarudia viporo ro, kwako napata vinono no
Yani fainale, nipo nyang'anyng'a sina hali
Nikiugua dakitari yeyeh, dakitari
Katangaze nakupenda sio mbaya
Sio dhambi hakunaga ubaya, kuzama penzini nawe, ongeza tena nipagawe
You're my melody and I sing alone
Bad man I sing alone
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni
Siri tuzitunze nje sio sawa, tukibishana ndani ya kaya
Tuyamalize mimi na we, upendo kati yetu ututawale
You're my melody and I sing alone
Bad man I sing alone
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni
You are my love,
Umenikamata, yeyeh
Mganga gani huo ooh
Now I sing alone, yeh yeh..
You are my love,
Umenikamata, yeyeh
Mganga gani huo ooh
Now I sing alone, yeh yeh..
You are my love,