NAUGHTY FLOW ft. YNW Pikachu & Marvin's Universe Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
We Love You Sora
Everytime umesema niswitch nimekuja na pressure for real
Unadig hiyo flow imeiva ka Noti step kwa track nakill
Watu watatu still hamnitoshi nakuja na bars ni ill
Kwa track umejaza vikosi ka we ni fala sign hiyo deal

Membership kwa gym umebeba mafuta usiseme ni thick
Kwa mdomo unanuka aluta aye ukibonga unafanya niclick
Unaflow akiimba Yoruba, con huyo fala anapenda madick
Life unataka ya Huddah umebeba ufala ka Jerry wa Rick
No shame kwa streets mnauza vinyo wengine ni kazi kulick
Ukimcheki utadhani ni pukka send hizo floods kwa vile I'm sick
Nawashow na Mimi sijudge nimepassiwa mic na mi nikaspeak
Ka Jodye sidhani hao ma G hunilike still forever the clique
Everytime umesema niswitch nimekuja na pressure for real
Unadig hiyo flow imeiva ka Noti step kwa track nakill
Watu watatu still hamnitoshi nakuja na bars ni ill
Kwa track umejaza vikosi ka we ni fala sign hiyo deal
Everytime umesema niswitch nimekuja na pressure for real
Unadig hiyo flow imeiva ka Noti step kwa track nakill
Watu watatu still hamnitoshi nakuja na bars ni ill
Kwa track umejaza vikosi ka we ni fala sign hiyo deal
Marapper nimemada ni wengi kwa track
IG si unajua niko mboka kama si deal ya madough double tap
Aling'ora akadoz agha khan wakichora saba mi huchora maplans
Sora kwa hook mi Peter Pan kuhata ni tricky niko Ramadhan
Kaa ni mix unataka enda cheki za Qwan uh
Kuja na pen nikuje na rubber
Huu morio asumbuanga sana akamie thao juu yeye ni capper
Haina ngori sikuwanga wa kwanza mambo ya title we wachia shamba
Siezi dishi huo mpoa hapana tukipatana joh tutabishana
Aje unabeef na umeinama
Mi hupiga tizi na mziki Muhammad Ali videvu mi hurusha bars
Antaka nini na mimi juu kama ni best ameshika atatoka huku worse
Hii ndo Sin City but mi niko huku kusaka mapesa we bora tu deal iko fiti
Mpoa amebeba mahaga zi hutokeanga kando akiketi kwa kiti