Siondoki Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Neno lako ndio mwanga wangu
Taa ya miguuyangu
Eeeh we bwana
We kimbilio nikiwa sina Wa kunishika nikiwa Ninatanga ngome yangu
Wewe ni mpenzi nikiwa Sina pa kulilia we Wanikumbatia eeeh we Baba nina amani Sina Shaka Wewe ni mungu unajibu Kwa wakati peke yako
Bila uwepo wako siondoki
Usipotangulia siondoki
Bila wewe bwana eeeeh we Yesu siondoki mimi
Siondoki mbele zako
Bila kuuona kwanza Mkono wako
Siondoki uweponi mwako
Bila kuuona kwanza Ushindi wako
Siondoki mbele zako
Bila kuuona kwanza Mkono wako
Siondoki uweponi mwako
Bila kuuona kwanza Ushindi wako
Aketiye mahali pako pa siri
Atakaa daima kivulini pako
Na siondoki mbele zako
Umenipa maisha yako
Mimi ni mboni ya jicho Lako
Umenichoraa na viganjani Pako
Na sio mateso yake mwovu
Sio maneno ya wanadamu
Sio kutengwa na Wenzangu
Ila nitembee na uwepo Wako
Bila uwepo wako siondoki
Usipotangulia siondoki
Bila wewe bwana eeh we Yesu
Siondoki mbele zako
Bila kuuona kwanza Mkono wako
Siondoki uweponi mwako
Bila kuuona kwanza u
Ushindi wako
Siondoki mbele zako
Bila kuuona kwanza Mkono wako
Siondoki uweponi mwako
Bila kuuona kwanza Ushindi wako
Bilia kugusa upinde wako
Siondoki mbele zako Siondoki Eeeh eeeeeh eeeeeh