![Jing (VeVe)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/28/bb29fdfe453842929098d9945aa03849H3000W3000_464_464.jpg)
Jing (VeVe) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Jing (VeVe) - Taurus Bluu
...
It’s one thirty seven said you’ll be here by eleven
But you can just forget it cause I already hit up Hellen
Put that shit on mute you keep blowing up my celle
Just came from bayou i got hittas there already
Sato niko Jing utapata niko veve
Sato niko jing utapata niko veve
(Veve)
Utapata niko veve
Sato niko jing utapata niko veve
(Veve)
Drink yako bro chunga isitiwe mchele
Niko fom joh with my boyz from kondele
Nilicancel fom eti nije nichill na wewe
Uka anza games ikabidi nipigie Hellen
After Mechi Joh ilibidi nkuje veve
Sai niko jing joh sidai kuchill na wewe
Wewe unacheza na mimi
Options ninazo na hazi hesabiki
Wifey amekuwa shabiki
Nikimsho twende anakuja na mimi
Nilisho promoter tenga kinde ndo nistep nje ya keja
Tumbler on my hand every weekend kwani mi ni mejja
We ni mbleina unachachisha basi wacha ulale mteja
I will never let a nigga press me listen never ever
But …
Sato niko jing utapata niko veve
Sato niko jing utapata niko veve
(Veve)
Utapata niko veve
Sato niko jing utapata niko veve
(Veve)