Tete ft. Mr blue Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2023
Lyrics
Hii ni Siri ya moyo
Moyo unapenda kweli
Tena mimi poyoyo
Nikipenda napenda kweli
Usinikatiliii roho yangu mpaka mwili
Hujanipa hata maji na unitupe Kwenye jangwa kali
Mama moyo umejificha mbali sana
Licha ya kufunikwa na mbavu
Ila wewe Bado ukapenya
Jua si kawaida moyo unadunda nisipokuona
Vipi yatatokea maajabu! Moyo wangu utasimama
Mapenzi ukifanya fimbo
Jua mimi utanichapa
Maana umeshatega urimbo
Me ndege unaninasa aaaah
Tetee ntakesha nikitetemeka
Tetee mwenzako me navuta picha
Tetee ntakesha nikitetemeka mama
Tetee weee
Nakesha bila kula bila kulala
Naesabu mabati (naesabu mabati)
Naweza tu dharura siku nitemwe na ashura
Uhai uko nami nampenda kwa dhati
Nje na ndani yuko safi aah
Nikimtamani namtafuna mi ni mrafi
X wa zamani sijui yuko wapi?
Mwambieni nakula raha za chumbani bila wasi
Amakweli nimefika
Sheri anajua kupika
Meli nanga imekita
Mkweli na uwakika
Mama macho yanaita
Namwenzako nimefika
Toto ni la kiafrika
Napenda likikatika
Nimefika
Niko safe na nauli nimelipa
Level zetu za juu mama tule mapipa
Hello sinyorita Njoo nikupigie gita
We ndo pini ya blue wengine wanapita
Aaaah
Tetee ntakesha nikitetemeka
Tetee mwenzako me navuta picha (naogopa kukesha naogopa aya mawazo)
Tetee ntakesha nikitetemeka mama (nanikikeaha jua we ndo chanzo ooooh)
Tetee ntakesha! Ntakesha bila ya wewee…
Eeh bila ya wewe yeyeye mimiiii ooooh eeeeh yeyeyee