![Enzi Zile ft. Arnold](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/27/1208fc6490de4353a020b5dc2ee27269_464_464.jpg)
Enzi Zile ft. Arnold Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Enzi zile bado ni mbichi Kichwani
Mapenzi uliyonipa natamani
Gizani nakuwaza silali
Silali
Enzi zile bado ni mbichi Kichwani
Mapenzi uliyonipa natamani
Gizani nakuwaza silali
Silali
Nakumbuka tukipiga densi
Kwenye dance floor tukikula hepi
How you moved in your minisketi
When you moved your body round and round and round and round
Ukipiga densi
Chrome gin had you moving so crazy
How you moved in your minisketi
When you moved your body round and round and round
Enzi zile bado ni mbichi Kichwani
Mapenzi uliyonipa natamani
Gizani nakuwaza silali
Silali
Enzi zile bado ni mbichi Kichwani
Mapenzi uliyonipa natamani
Gizani nakuwaza silali
Silali
Nakumbuka tukikula hepi
Good vibes under the moonlight
Dancing to the music on the radio(stereo)
We just having a good time
Mteja hapatikani simu ziko off(line)
Whisper to my ear what you really want(girl)
Feelings ziko mutual and very strong(mmm)
Memories nashinda mi nikirecalll
Enzi zile bado ni mbichi kichwani
Mapenzi uliyonipa natamani
Gizani nakuwaza silali
Silali
Enzi zile bado ni mbichi kichwani
Mapenzi uliyonipa natamani
Gizani nakuwaza silali
Silali
Enzi zile bado ni mbichi Kichwani
Mapenzi uliyonipa natamani
Gizani nakuwaza silali
Silali
Enzi zile bado ni mbichi Kichwani
Mapenzi uliyonipa natamani
Gizani nakuwaza silali
Silali
Nipe nikupe tena
Nishikie nkushike tena
Nipe nikupe tena
Tena
Nipe nikupe tena
Nishike nkushike tena
Nipe nikupe tena
Enzi zile
Bado nakupenda
Enzi zile
Bado nakupenda
Enzi zile
Bado nakuwaza
Bado nakuwaza
Enzi zile
Bado nakupenda
Enzi zile
Bado nakupenda
Enzi zile
Bado nakuwaza
Bado nakuwaza
Bado nakupenda
Bado nakupenda
Bado nakuwaza
Bado nakuwaza