Nani Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Nani - Kidaboy classic ke
...
ukiwa mbali me naumia mpenzi iiiih
ukiwa mbali me naumia beibe eeeeh
Ni nani ?
takaye mpenda nami akanipenda x2
mwisho akanipenda
babyghal si unajua nakupenda
babyghal si unajua nakupenda ahh x2
babyghal si unajua nakupenda
why lie aty me sikupendi
Kila day Kila time niwe nawe
eeeh niwe nawe
nikupe roho yangu
uitunze eeeh
uitunze
babyghal si unajua Niko single
babyghal me nataka Tumingle
Ni nani ?
takaye mpenda nami akanipenda x2
mwisho akanipenda
Ni nani atanichangamsha
nikiboeka anichangamsha
nikiteguka anipa mkono
now I see youuu
you gara be the one for me mmmmh x3
Ni nani
takaye mpenda nami akanipenda x2 .
mwisho akanipenda iyeeeeye