Nipe Maji Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nipe Maji - Joyce Matogo
...
Nipe nipe nipe maji
Nipe nipe nipe nipe nipe maji
Nipe nipe nipe maji
Kulikuwa na mwanamke mmoja mjane
Alikua na shida nyingi
Siku za ukame
Mvua haikunyesha
Kwa Muda mrefu
Lakini mungu kamfikiria
kataka kumbariki
Alimtuma nabii Eliya
Kamwambia nendaa
Nenda Kule sidoli
Utampata mjanee
Mwambie mimi nataka kumbariki
Akiwa na mwanawe nawee
Mimi mungu
Ninaokusudi naye
Nipe maji ninywe
Yahweh
Maji ya uzima
Nipe maji ninywee
Babaa
Nikate kiu
Nipe maji ninywe
Yahweh
Maji ya uzima
Nipe maji ninywe
Baba Nikate kiu
Kama yule mke msamaria
Nipe maji ya uhai
Huenda uko jangwanii
Mifupa mikafu
Njooni kwake mlio kata tamaa
Mnajaribu ila mnang'ang'ana
Njooni kwake mlio na mizigo
Katika Hali yenu ngumu ya maisha
Nipe nipe
Nipe majii
Nipe nipe nipe nipe nipe maji
Nipe nipe nipe nipe maji
Nipe nipe
Nipe nipe nipe maji
Nipe nipe nipe nipe nipe maji......
Nipe maji nipe maji
Nipe maji ninywee
Yahweh
Maji ya uzima
Nipe maji ninywe baba
Nikate kiu
Mungu Ana mango meme juu ya maisha yako
Lakini lazima kujongea na kunyosha mkono na kuitisha maji
Yesu anakata kiu
****'' '' '
@RemmybaeLyrics