Ni Baraka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni Baraka - DS Daniel
...
Hadithi njoo, rafiki njoo
ukweli njoo nikusimulie,
hadithi njoo rafiki njoo
ukweli njoo nikusimulie
Mafanikio yako uliyopata si bure,
aliyoyatenda ni BWANA aah
Usijigambe wala usijivune,
aliyoyatenda ni BWANA weeh
Ye huzidisha kwa alichofanya,
na hufukuza maadui zako oh
Na huwatawanya kwa njia saba,
We mshukuru kwa sadaka zako ooh
Hayo magumu unayopitia atageuza,
Hivyo vita unavyopigana, atakupigania.
Ila ukimkiri kuwa BWANA na mwokozi, wa maisha yako,
atakufanya kiumbe kipya abadili
historia yako,
Mwenzako nilimkiri kubwa BWANA na mwokozi wa maisha yangu,
Akanifanya kiumbe kipya kabadili, historia yangu weeh
Kwangu ni Baraka,
Kwangu ni Baraka,
Kwangu ni Baraka,
Kwangu ni Baraka,
Aiyoyooh x2
Ile Baraka ya kweli ni kukutana na BWANA,
Kumbe Baraka ya kweli ni kukutana na Mungu,
Yani Baraka ya kweli ni kukutana na BWANA,
Ile Baraka ya kweli ni kukutana na Mungu.
Wapo walionikataa, Yesu akanihurumia,
Madakitari walishindwa kuniponya,
Yesu akaniponya mie,
Ukweli nimejua hakuna wa kufanana na Yesu,
Maishani mwangu jamani, Hakuna wa kufanana na Yesu,
Hakuna wa kufanana naye,
Hakuna wa kufanana na Yesu.
Hakuna wa kufanana na yeye,
Hakuna wa kufanana na Yesu
Hakuna wa kufanana naye Baba ooh
Hakuna wa kufanana na Yesu.
Hakuna, kufanana na yeye, ona.
Hakuna wa kufanana na Yesu.
Aiyoyooh
Kwangu ni Baraka.
Kwangu ni Baraka
Kwangu ni Baraka
Kwangu ni Baraka.
Kutembea kwangu uzima wangu, furaha yangu mwenzenu,
(kwangu ni baraka)
Watoto wazuri nyumba nzuri, gari ya kutembelea
(kwangu ni baraka)
Uzima huu nilionao nimepewa bure
(kwangu ni baraka)
Kwangu ni Baraka.