Work Hard ft. Vinc on The Beat Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Na work hard, daily nakaza hiyo muscle
Wera nachapa Hadi natokwa na jasho
Mengi umesikia nimeyaona Kwa macho
Sio kwenu Tu, hata kwetu Wanga wapo
(Yeah) I've been grinding for a minute
I've been all up in the city
Wale wanatuamini
Wanauliza tutapenya lini
Wanauliza tutapenya lini
Na work hard, daily nakaza hiyo muscle
Wera nachapa Hadi natokwa na jasho
Mengi umesikia nimeyaona Kwa macho
Sio kwenu Tu, hata kwetu Wanga wapo
I've been grinding for a minute (yeah)
I've been all up in the city
Wale wanatuamini
Wanauliza tutapenya lini
(Yoyoyoyo ) Swali ni moja tutapenya lini
(Yeah,yeah, yeah) eeh,eeh manze tutapenya lini
Ngamwana kemikali ndani ya beati
Skiza venye inagonga
Niko hustle Kila siku ya wiki
Daily nazidi kusonga
Mahater bado wanabonga
Na wote ni ma rumour monger
Jamani nisikilizeni (eeeh)
Wananiita longombaz
Fanta, whiskey..sushi tunadishi
Kwanza, Niki ...pull up ni mazishi
Toto, PC...Kali, ndio nadishi
Moto, mi ndio Kenrazy, nawa tichi
Na work hard, daily nakaza hiyo muscle (nakaza hiyo muscle)
Wera nachapa Hadi natokwa na jasho (natokwa na jasho wooh)
Mengi umesikia nimeyaona Kwa macho (uuuuuh)
Sio kwenu Tu, hata kwetu Wanga wapo
(Yeah) I've been grinding for a minute
I've been all up in the city
Wale wanatuamini
Wanauliza tutapenya lini
Wanauliza tutapenya lini
Na work hard, daily nakaza hiyo muscle
Wera nachapa Hadi natokwa na jasho
Mengi umesikia nimeyaona Kwa macho
Sio kwenu Tu, hata kwetu Wanga wapo
I've been grinding for a minute (yeah)
I've been all up in the city
Wale wanatuamini
Wanauliza tutapenya lini
(Yoyoyoyo ) Swali ni moja tutapenya lini
(Yeah,yeah, yeah) eeh,eeh manze tutapenya lini