Upewe Sifa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2005
Lyrics
Nitaimba sifa zako
(I will sing your praises)
Ewe Baba Mungu wangu
(Oh Lord My God)
Wewe uliyenipenda
(You who loved me)
Kanifanya huru kabisa
(And set me free)
Upewe sifa upewe sifa
(Receive praise)
Ewe Baba mwenye enzi
(Enthroned Father)
Upewe sifa upewe sifa
(Receive Praise)
Leo, sasa na milele
(Now and forever more)