![Milele](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/4F/CC/rBEeNFnmGfaAPAB2AAC96sGSyz8012.jpg)
Milele Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Milele - Agolla
...
Nmekutamaniih kwa muda mrefu sasaah aaah
ni siku gani utakuwa wangu weweeeh eeeh eeeeh
ujue unachonifanyia beiby noooh noooho nooooho
utajua siku gani mpenzi uwe wangu mileleeeeh eeeehe
chorus
milele milele mchumba aaaahaah
eeeehehi milele milele mchumba wangu weeeheeehee
uuuuuhuu eeeeeh eeeeh eeeeheee
kazini tuko pamoja kila siku napata kukuonaaaaah aaaah
uwogaaah kutojamini cjui ni kwa niniih
(ninashindwa kukueleza ninavyohizi)
amaniwache kujivago? labda wako akungoja kwakooho
lakini mimi nitachizi siwezi ishi ivi
tambua maneno beiby uwe wangu mileleeeeh eeeehe haah
Chorus
ni siku gani utaninotice juu na chini nmejaribu weh
sijui nifanye nini nivae minisketi .....?
why cant you jus make this happen am deyin eeeh
tuwepamoja mileeeleleeeh eeeeh eeeeeh eeeeheeh eeeehe
Chorus