Mwakahuu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
oooooohohoho hohoho
oooooohohoho hohoho!
Sijabarikiwa mwakajana
nibariki mwaka huu
japo mengi nimagum sana
ila napambana duuh
kazi yangu kuuza karanga sina pesa
bado najichanganya
haliyangu ni hatar sana
sio story wala sio nadanganya
saa imagine
nna sikutatu mi sijala
Aaaahahaaaaaa!
sina pesa
mi nashindia sigala
mbaya sana
sina pakulala
mama mwenye nyumba
mie kasha nifukuza
maisha yangu nimsalaa
kunamda mi nafanya kazi ngumu ila malipo hakuna
Nibariki mwaka huu
huuu mwakaaah!
Nibariki mwaka huu
Nibariki mwaka huu
Nibariki mwaka huu
aah hu mwakaa
Nibariki mwaka huu
Nibariki mwaka huu
kunamda minazani nimerogwa nimerogwa
kila kitu kina buma kina buma
Nisha kopa kila kona
naitwa madeni baba
kidogo nachopata
wanani ng'ang'anya
kosa sijatenda mimi napitia msoto
maisha yangu mimi ni changamoto
nusu niuwawe kosa silijui
sina raha kwangu wote maadui
aaaahaaaa!
umefika muda mbaka mimwenyewe najikataa
aaaah
nikitaka kujingonya hatakamba zinanikataa
washa nikataa marafiki
ndugu na jamaa majilani wameni choka
hata wimbo nao imba nime kopa
sina wanunuzi na umebumaaaaaah!
Nibariki mwaka huu
huuu mwakaaah!
Nibariki mwaka huu
Nibariki mwaka huu
Nibariki mwaka huu
aah hu mwakaa
Nibariki mwaka huu
Nibariki mwaka huu
kunamda minazani nimerogwa nimerogwa
kila kitu kina buma kina buma