DEAR EX Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Verse 1
Siku moja moja ukipata nafasi,
Unikumbuke,
Nimemisi sana sauti yako,
Yakipekee,
Nakukumbuka sana,
Ooh japo tumeachana,
Alishapanga maulana,
Sisi kutengana,(mmh)
Nimeikumbuka sana,
Ile sehemu yetu ya kukutana,
Ila ndo ushaolewa mama,
Roho inaniuma,( mmmh..)
Natamani ,
siku zirudi tuwe wote,
Uwe nami mambo yawe rote rote,
Usiku nikilala,
Picha yako kichwani inanijia,
Sitaki mbadala,
Nachotamani tu kukurudia.
Chorus
Ooooh oooh dear ex, Heiyeeee dear ex,
Oooh ooh dear ex, Heiyeeee dear ex.
Verse 2.
Mmh..
Ukipata mda nipigie tu,
Na ukipata chance karibu kwetu,
Bado nipo singo nipo nipo tu,
Moja haikai, mbili wala tatu,
We ndo ulofanya niteseke,
Kwanini uliniacha mpweke,
Moyo umeupa maseke,
Ungenambia ungenambia,
Mapenzi nilikupa yote,
Ukaahidi hutoniacha uondoke,
Shukrani ya punda mateke,
Umekimbia umekimbia,(oouooh)
Usiku nikilala,(Heiyeh)
Picha yako kichwani inanijia,(oouh)
Sitaki mbadala,(Heiyeeh)
Nachotamani tu kukurudia.(oouooooh)
Chorus
Ooooh oooh dear ex,
Heiyeeee dear ex,
Oooh ooh dear ex,
Heiyeeee dear ex