Umeniweza ft. Kraizy Bwoy & Mr Kelele Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Oyee
Mr kraizy bwoy woyee
Ooh no
Mr kelele the choir master mwenyewe kaboom
Umeniweza woop
Ume ume umeniweza
Toto la mama umeniweza
Ume ume umeniweza
Toto la mama umeniweza
Niwe niwe umeniweza
Toto la mama umeniweza umeniweza
Niwe niwe umeniweza ooh yeh eh eh
Toto la mama umeniweza
Umeniweza ahh
Ah seh mania you ya you razor ahh
You got me up all night ahh
Every night ahh
Thinking of you kaba
Mpenzi wangu oh mami oh
I can't get over this feelings I have for you nah nah nah ahh yeah
You dominate my mind ahh yeah
Oh high di'u'a mwane
'Ogu ai'a ta'aa'a reh
Yeah umeniweza ju yako naenda kwa gereza
I love you so much
Nikidedi wakuweke kwa jeneza
Tunaeza if ifanyia kwa meza
Tunaeza ifanyia kwa bafu
Nimekuandikia ngoma
Nataka kuona ukicheza
My star time is money so cheki maisaa
Kwanza ukivaa hiyo dress
Bila baika we ni real hao ni fake ka simu za chaina
Mi ni major lazor wengine ni miner
Just for one night nikusho naweza bazenga leo tunachafua meza
Kama maua ukiniacha mwenzako nitanyaukaaa aah
Na ulivyo wa moto niruhusu nije kwako nikaote jua aaah
Ume ume umeniweza
Toto la mama umeniweza
Ume ume umeniweza
Toto la mama umeniweza
Niwe niwe umeniweza
Toto la mama umeniweza
Niwe niwe umeniweza
Toto la mama umeniweza
Hawa maheta unawaumiza maksudi
Umefanya najawa na kiburi aah
Baby nataka banana
Nikirudi unasemaaah
Mi nawe twafanana
Nimejuwa mapemaaah
Moyo wangu kwako ni ka remote
Taratibu mama usinifinye poze
Na ulivyo hitimu kwenye mapenzi mimi kwako natulia
Nipe mafunzo
Umenipandisha ngaazi
Nashindwa kushuka
Aki baby nashtuka
Ona tulivyo raruwa hizi mashuka
Penzi limekolea mwenzenyu bila mboleaa
Kama maua ukiniacha mwenzako nitanyaukaaa aah
Na ulivyo wa moto
Niruhusu nije kwako nikaote jua aaah
Ume ume umeniweza
Toto la mama umeniweza
Ume ume umeniweza
Toto la mama umeniweza
Niwe niwe umeniweza
Toto la mama umeniweza
Niwe niwe umeniweza
Toto la mama umeniweza
Umeniweza
Red eye music
Trabol sum inna ya remix