Umetukuka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Wastahili sifa na utukufu
Wewe uketie juu ya vyote
Pokea heshima na mamlaka
We u muumba wa vyote
Wastahili sifa na utukufu
Wewe uketie juu ya vyote
Pokea heshima na mamlaka
We u muumba wa vyote
Yesu umetukuka
Yesu unastahili
Mamlaka yote ni yako
Enzini unatawala
Yesu umetukuka
Yesu unastahili
Mamlaka yote ni yako
Enzini unatawala
Kifo hakina nguvu
Kumshinda mwana wa Mungu
Yesu umetukuka umetukuka umetukuka
Mamlaka yote mamlaka yote ni yako
Bwana umetukuka
Bwana unastahili
Mamlaka yote ni yako
Enzini unatawala
Bwana umetukuka
Bwana unastahili
Mamlaka yote ni yako
Enzini unatawala
Bwana umetukuka
Bwana unastahili
Mamlaka yote ni yako
Enzini unatawala
Bwana umetukuka
Bwana unastahili
Mamlaka yote ni yako
Enzini unatawala
Bwana umetukuka
Bwana unastahili
Mamlaka yote ni yako
Enzini unatawala
Bwana umetukuka
Bwana unastahili
Mamlaka yote ni yako
Enzini unatawala
ooo Bwana
ooo Bwana
ooo Bwana
Bwana Bwana
Juu ya vote
Ni wewe Bwana
Juu ya vyote
Ni wewe Bwana
Kifo hakina nguvu
Kumshinda mwana wa Mungu
Yesu umetukuka
Mamlaka yote ni yako
Kifo hakina nguvu
Kumshinda mwana wa Mungu
Yesu umetukuka
Mamlaka yote ni yako
Hallelujah
Hallelujah
Let's just give praise to the Lord