Mungu wangu (feat. EMMANUEL MWITA) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimezunguka duniani
Ndani ya ulimwengu
Wenye dhambi
Nimesafiri mimi
Bila msaada
Na tumaini la moyoni
Lote nikakosa mimi
Niliyemtegemea ameniacha
Mmhh
Nimezunguka duniani
Ndani ya ulimwengu wenye dhambi
Nimesafiri mimi bila msaada
Na tumaini la moyoni lote
Nikakosa mimi
Niliyemtegemea
Ameniacha
Najua bwana
Mungu wangu
Atanilinda na kunitunza mahali pa tulivu
Pa kujikinga
Na kumngoja yeye bwana wa majeshi
Nitamsifu
Asante bwana Mungu kwa kuniokoa
Mungu wangu atanilinda na kunitunza
Mahali pa tulivu
Pa kujikinga
Na kumngoja yeye bwana wa majeshi