
Hapana ft. Gaya Kidy Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Hapana ft. Gaya Kidy - Mo Magic
...
Iye iye iye iyeeh
Hapo hapana, hapo hapana
Hapo hapana, hapo hapana
Hapo hapana, hapo eeh hapana
Hapo hapana, hapo hapana
hapana
kwani nani hapendi vitu vizuri
sie tuwe wapole muwe jeuri nyi
alafu bado hamtujui vizuri
mnatuona ng'ombe hamtuoni vizuri ih...
Hapana
Hapana
Hapana
Hapana
Ee eeh
Nikweli maseke kinyonge hatuna pesa kama wao
tukipata tunavesha eh
Makeke letu tonge wapoteza jama hao
ila God atabless up
Mungu ni wetu sote eh,
nani kasema wako peke yako (hapana)
sifa za bar na huonge we,
huku wanateseka ndugu zako (hapana)
Kuleta sifa vuta bange eh
Mambo ya kijinga we utambe eh
Kugeuza maisha yako pombe we
Vitonga, mizinga, na uzembe eh
Hapo hapana, hapo hapana
Hapo hapana, hapo hapana
Hapo hapana, hapo hapana
Hapo hapana, hapo hapana